Naomba kujuzwa...

mwimbile

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
211
225
Takribani siku kadhaa zimepita matangazo mbalimbali Yamesikika juu ya wateja wa Mitandao ya simu ...ya kuwa unaweza kuhama kutoka mtandao mmoja na kwenda mwingine pasipo kubadili line yako....
Naomba kujuzwa faida na madhara ya kuhama mtandao pasi kubadili namba ...great thinker msaada nausubiri..
 
Back
Top Bottom