chuxxe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 600
- 361
- Thread starter
- #21
Hahaahaa mkuu ujaelewa t badoShukrani mkuu!Kwa hiyo nikiwa nimezima PC yangu hataweza kupakua siyo?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Hahaahaa mkuu ujaelewa t badoShukrani mkuu!Kwa hiyo nikiwa nimezima PC yangu hataweza kupakua siyo?
hutaweza
anakua si peer wa network,
Kwaiyo INA maana MTU aliye appload file torrent akiwa offline nyie watu mia mlie pakua bado hamna msaada kwa wengne!?anakua si peer wa network,
Na kama hao watu mia wamezima PC zao na hawapo online?Kwaiyo INA maana MTU aliye appload file torrent akiwa offline nyie watu mia mlie pakua bado hamna msaada kwa wengne!?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kwaiyo INA maana MTU aliye appload file torrent akiwa offline nyie watu mia mlie pakua bado hamna msaada kwa wengne!?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu ninakupata vyema sana.Sasa mfano niko online na kuna mtu ameshapakua file kutoka kwangu kwa asilimia 50 halafu nikazima PC yangu ghafla,atashindwa kuendelea kupakua?literally speaking, hakuna ku 'upload' file,
(japo hapo juu limetoa mfano mdau apate mwanga seeding==uploading)
maana torrent haina central server, uta upload file utaliweka wapi ?
ukiona seeding... ujue wewe unakua server kwa mda huo, kuruhusu leecher kupakua parts za file kutoka kwako, ila sio lazima kuwe na leecher
cheki comment ya King Kong juu hapo, kuna mda unaona number of peers ulizokua connected zinapanda na kushuka kuonesha baadhi wana ingia online na wengine wanatoka
huwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files
IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji
Torrent inatumia P2P (mtu kwa mtu) protocol, unapakua file moja kwa moja kutoka kwa PC/HDD ya mtu mwingine, hakuna server,
idadi ya wenye ilo file likiwa complete ( seeders ) itaathiri spidi ya upakuaji
ukitaka ku compare ni vyema ukatumia softwares zinazo run kwa protocol moja mf: IDM, FDM, IDA au JDownloader
na upande wa pili: uTorrent, BitTorrent au Transmission-Qt
Mbeguring nadhani( purely joking). Nadhani inamaanisha kuwe sehemu ya kushare file husika, yaani na wewe unapanda mbegu za faili hilo mtandaoni ( a bit serious here). Sina utaalamu wa computer !Seeding maana yake ni nini mkuu?
Yeah IPO tena simple tu tafta zenye crak fullmkuu IDM hizi za free huwa zina expire baada ya 30 days vipi kuna mbinu yeyote ya kukwepa key
huwezifananisha IDM na Torrent, ni vitu viwili tofauti, japo zote zinahusika na upakuaji wa files
IDM inatumia protocol ya HTTP, wewe client unapakua file kutoka kwa server, sifa za iyo server itaathiri spidi ya upakuaji
Torrent inatumia P2P (mtu kwa mtu) protocol, unapakua file moja kwa moja kutoka kwa PC/HDD ya mtu mwingine, hakuna server,
idadi ya wenye ilo file likiwa complete ( seeders ) itaathiri spidi ya upakuaji
ukitaka ku compare ni vyema ukatumia softwares zinazo run kwa protocol moja mf: IDM, FDM, IDA au JDownloader
na upande wa pili: uTorrent, BitTorrent au Transmission-Qt
Kikubwa sote humu tupo kueleweshana so MTU akitumia taaluma yake anakuwa na sisi ametusaidia kwa kias fulanNingekuwa karibu na wewe ungepata balimi tatu.yani jamaa unajuwa kueleza kirafiki sana kwa kutumia taaluma yako
Kikubwa sote humu tupo kueleweshana so MTU akitumia taaluma yake anakuwa na sisi ametusaidia kwa kias fulan
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba unisaide utaalam wakuspeed up downloading katika torrent.Mimi nilikuwa mpenzi sana wa torrents na vingi nilijifunza humu humu mpaka kuusu maswala ya seeders niliyapata humu humu mwanzoni kabisa kwa network nilikuwa nadownload GB 14 tyu yhn kwa masaa sita nilikuwa napata 1 Mbps ila badae ilikuja kupanda mpka 5mbps.
Baadaye nikaja kuhama nilipokuwa naishi na hapo ndio shida ikaanza sehem niliyopo niliisi haina 4g maana natumia smart kitoch so kupata 4g mpk nicomand hivyo torrent niliishia kupata 1mbps kushuka chini na juzi likaamua kuachana na torents nikaamua kutumia idm hapa kuna utofaut kwa idm napata 3Mbps na kuendelea na Jana nimefanikiwa kudownload gb30 kwa masaa sita hii imenipa maswali kidg je pia torrent nao kuna mda uwa wqnasumbua sio
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba unisaide utaalam wakuspeed up downloading katika torrent.
Mkuu naomba unisaide utaalam wakuspeed up downloading katika torrent.
Mkuu, unatumia lugha kali sana.Kama uta pata peer link unaweza add kuzani zipo dead
Mkuu ninakupata vyema sana.Sasa mfano niko online na kuna mtu ameshapakua file kutoka kwangu kwa asilimia 50 halafu nikazima PC yangu ghafla,atashindwa kuendelea kupakua?