Naomba kujuzwa utofauti wa IDM na torrent

ni kwamba, anapakua kwa watu tofauti (swarm==seeders walio online) kwa mda mmoja, mathalan file lina 4GB, anapakua kwako say 200MB,

200MB kwa mwingine, 200MB kwa mwingine, ivyo ivyo,

ndio maana kwenye ile 'progress bar' unakuta imegawika into stripes

ukienda offline, 'tracker' inatafuta peer mwengine mwenye ako kapisi cha file , anam direct kwa jamaa, jamaa anaendeleza kupakua

ikitokea WOTE wenye file(swarm) wakiwa offline, hakuna kupakua
Technologia ni noma sana!
 
Mkuu, unatumia lugha kali sana.
Kwangu cha muhim uwa ni seeders kabla cjapakua chochote uwa naangalia sana hiko then nikiona seeders wanalizisha halo ndio naanza upakuaji kingne cha muhim ni queue uwa napenda sana kuweka 2 ili kusaidia upakuaji wangu kuwa wa haraka zaid

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Naweza ona seeders pia kwenye Torrent ya simu?
 
Kila siku Nilikua najiuliza torrent zinafanyaje kazi, leo nimejua mbarikiwe wapenzi lol no homo.
 
ku seed mpaka uwe online, kuwa online maana yake ISP(Tigo,Voda) amekupa public IP address inayokutambulisha kama Peer (mtu) kwenye torrent networking

seeding==uploading, mda huo unakua server, yule anaye download kutoka kwako(leecher) anakua client
Sasa apa si ndo uchokoz wa kuchunguliana uta anza? wakikudukua je?
 
Naweza ona seeders pia kwenye Torrent ya simu?
Ndio kulingana na site unayoingia angalia hapo chini utaona seeders pia unaweza tumia flud kupakua file ni app nzuri sana kwa simu
Screenshot_20201010-084820_Opera Touch.jpg
Screenshot_20201010-084843_Flud.jpg
 
Kwangu cha muhim uwa ni seeders kabla cjapakua chochote uwa naangalia sana hiko then nikiona seeders wanalizisha halo ndio naanza upakuaji kingne cha muhim ni queue uwa napenda sana kuweka 2 ili kusaidia upakuaji wangu kuwa wa haraka zaid

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kuna wakati itakulazimu hata kama seeders ni wachache. Endapo umekosa hicho ulichokihitaji mahali kwingine na kikapatika kwingine kikiwa na seeders wachache utaacha?
 
wakikudukua je?
😅 😅 yeye kule anatumia torrent software, na wewe unatumia torrent software
iyo software ndio ina handle stream ya file mbele na nyuma, kuingia na kutoka kwa PC yako/yake

developer wa iyo torrent program ndio 'kashikilia mpini',
 
mkuu IDM hizi za free huwa zina expire baada ya 30 days vipi kuna mbinu yeyote ya kukwepa key
Ipo, Kuna key flan feki unaingiza, unaingiza email feki, majina feki wakati computer yako iko offline
Unaendelea kupakua mzigo Kama kawaida
 
Back
Top Bottom