M mtoo wa mwakidira Member Joined Sep 23, 2015 Posts 33 Reaction score 0 Oct 19, 2015 #1 naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana nazo, ahsanteni
naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana nazo, ahsanteni