Naomba kujuzwa mazuri na mabaya ya Starlet

Mr perfect

Senior Member
May 17, 2013
152
141
Wadau kama mada inavyojieleza hapo juu.

Naomba kupata msaada wa kufafanuliwa kiufundi changamoto za starlet carat maake naitaji kuifufua kutoka kwa jamaa angu kaitelekeza kitambo ingawa inatembea, nimpe pesa kidogo, niifanye kuwa gari ya kutambia mjini maake usawa huu pumzi ya kuagiza sina.

Hii hatua imekuja baada ya kufanya choice kwa mda kidogo kati starlet na gx100 kula nyingi ziliangukia kwa starlet, kwaiyo naomba elimu na poleni kwa usumbufu na kutofata uandishi kwa ufasaha...TANZANIA BILA COVD 19 INAWEZEKANA TUCHUKIE TAHADHALI.


1598312470350.png
 
Uzuri wake
  • kadogo dogo raisi kupaki mjini
  • mafuta mteremko 5000 unapiga misele
  • spare zinapatikana kiraisi na bei nafuu
  • kipo faster siyo kama paso
mabaya
  • kipo chini chini jiandaye kuchomelea chomelea vikorokoro vinavyokongoroka
  • barabarani unaonewa kwa sababu kagari kadogo daladala wanakufanyia fujo
 
wacha nifanye maamuzi sababu naona kipo analog na uhitaji wangu ni usafiri kwanza sio mbwembwe,asanteni sn...

HOT
 
Zaidi ya 100km mouu mana natumia IST ya 1NZ hii bei mpya ya wese kwa 1868 lita wese la buku 15 kitu kinatembea zaodi ya km 100 bila AC

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu unamenya sana basi. Hasa ukiwa mkoani ndio raha zaidi.

Natamani kama Corona iendelee ili mafuta yazidi kushuka kmmmk. 😂😂😂 yafike hata buku kwa litre wahuni tutambe juu ya mkeka.
 
Uzuri
1. Ni ngumu
2. Matumizi mazur ya mafuta
3. Spare bei rahisi na zipo nyingiii
3. Huwa ipo juu kidogo ukilinganisha na gari ndogo nyingine km Allexn.k

Ubaya
1. Matumizi yake ya mafuta hayawez kuzid injin ya vvt-i yenye cc1500
2. Ni gari ambayo ndani wameibana sana, abiria wa siti za nyuma hawaenjoy kabisa maana miguu inagusa siti za mbele. Inazidiwa nafac ya ndani hata na vitz.
3. Ni gari ambayo haivumilii sana njia mbovu, inawahi kugonga sana chini, haina uvumilivu kma Ist.
4. Unjini yake haina uvumilivu kabisa ukiwa unapitisha muda wa service, ukilinganisha 1nz injini au 2nz

Nb: kwa wakat huu ni bora ununue Ist au Vitz yenye cc 1290 kuliko starlet kama unabajet ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom