Dkt Guston Senior Member Joined Feb 28, 2022 Posts 105 Reaction score 119 Mar 4, 2022 #1 Habari wana JF Naomba kama kuna mtu alishawahi kufanya hii biashara anijuze kidogo hapa Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping
Habari wana JF Naomba kama kuna mtu alishawahi kufanya hii biashara anijuze kidogo hapa Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,796 Reaction score 22,768 Mar 4, 2022 #2 The Explorer said: Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping Click to expand... Kwa TOS za amazon, Kwa Tanzania na africa kwa ujumla haiwezekani, Walisha wahi kujalibu S.Africa ila ilishindikana. Hivyo FBA itabakia kuwa kwa nchi za Ulaya na baadhi ya nchi za Asia. Rejea Amazon FBA Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA
The Explorer said: Tanzania onakuaje hadi kufanya shipping Click to expand... Kwa TOS za amazon, Kwa Tanzania na africa kwa ujumla haiwezekani, Walisha wahi kujalibu S.Africa ila ilishindikana. Hivyo FBA itabakia kuwa kwa nchi za Ulaya na baadhi ya nchi za Asia. Rejea Amazon FBA Msaada kwa yeyote anayeijua biashara ya Amazon FBA
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,760 Reaction score 197,410 Mar 4, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Dkt Guston Senior Member Joined Feb 28, 2022 Posts 105 Reaction score 119 Mar 5, 2022 Thread starter #4 Mwl.RCT said: - Waweza kufanya kwa mfumo kama huu kwenye thread yangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Sawa kiongoz
Mwl.RCT said: - Waweza kufanya kwa mfumo kama huu kwenye thread yangu: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa Click to expand... Sawa kiongoz