Naomba kujuzwa hiki ni kitu gani

Huyo

Wakuu poleni na j.pili huwa nasafiri sana kwenda mikoani hiko kikazi sasa katika pitapita huavkuna baadhi ya sehemu hua nakuta vitu kama hivyo hivi wakuu hua ni vya nini!!![/QUOTE
Hiyo ni warehouse 'silo' ya taifa ya 1947.
 
Iluli hilo kwa kisukuma,baba yangu mdogo ashawahi kuoa binti na akamfikishia humo kama ghetto. Leo wana nyumba yao wana enjoy maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…