Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,669 Reaction score 2,859 Feb 29, 2024 #21 richie ze best said: Id yake ni madihigwa kama sijakosea. Click to expand... hii id haipo mkuu lamda utusaidie tu mawasiliano yake mkuu tupate kupona na sisi
richie ze best said: Id yake ni madihigwa kama sijakosea. Click to expand... hii id haipo mkuu lamda utusaidie tu mawasiliano yake mkuu tupate kupona na sisi
N ngakotecture JF-Expert Member Joined Dec 30, 2014 Posts 2,884 Reaction score 3,304 Mar 3, 2024 #22 Tupatie namba mkuu maana vidonda sio poa
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,421 Reaction score 1,297 Jul 26, 2026 #23 Chakula Kibaya said: Kwa miaka hii sijui ila 2014 nilipimwa bugando na walinicharge 70,000/= Click to expand... Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza?
Chakula Kibaya said: Kwa miaka hii sijui ila 2014 nilipimwa bugando na walinicharge 70,000/= Click to expand... Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,787 Reaction score 23,546 Oct 8, 2026 #24 kayanda01 said: Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza? Click to expand... Unazimwa
kayanda01 said: Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza? Click to expand... Unazimwa
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,421 Reaction score 1,297 Oct 9, 2026 #25 Angel Nylon said: Unazimwa Click to expand... Kwamba nazimishwa kwanza kwa muda?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,787 Reaction score 23,546 Oct 9, 2026 #26 kayanda01 said: Kwamba nazimishwa kwanza kwa muda? Click to expand... Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodini
kayanda01 said: Kwamba nazimishwa kwanza kwa muda? Click to expand... Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodini
kayanda01 JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,421 Reaction score 1,297 Oct 10, 2026 #27 Angel Nylon said: Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodini Click to expand... Ulishafanyiwa hicho kipimo?
Angel Nylon said: Ehee, then wanafanya kipimo. Ukizinduka upo wodini Click to expand... Ulishafanyiwa hicho kipimo?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,787 Reaction score 23,546 Oct 11, 2026 #28 kayanda01 said: Ulishafanyiwa hicho kipimo? Click to expand... Hapana, nilitaka kufanyiwa ila niliposkia mambo ya kuzimishwa nikakimbia. Hawachelewi kukuzimisha moja kwa moja
kayanda01 said: Ulishafanyiwa hicho kipimo? Click to expand... Hapana, nilitaka kufanyiwa ila niliposkia mambo ya kuzimishwa nikakimbia. Hawachelewi kukuzimisha moja kwa moja
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,362 Reaction score 6,805 Oct 11, 2026 #29 kayanda01 said: Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza? Click to expand... Unapigwa ganzi husikii chochote ila tu inakereketa, nishawahi kufanyiwa.
kayanda01 said: Mkuu Chakula Kibaya Naomba experience yako, hicho kipimo cha Endoscopy. Je, kina maumivu? Je wanakifanya bila ganzi au kuna ganzi kwanza? Click to expand... Unapigwa ganzi husikii chochote ila tu inakereketa, nishawahi kufanyiwa.