Natanguliza shukrani kwenu wana jf
Naomba kujuzwa bei za projector za bei rahisi sana kampuni yeyote ile ni kwa matumizi ya kawaida tu
Napenda kuwasilisha kwenu
Sikushauri kununua projector used kwa sababu unaweza ukatumia miezi miwili tu ikaishiwa nguvu ile mionzi ina time sasa uwezi jua alie tumia kaka nayo mda gani na mionzi ikipungua nguvu aionyeshi vizuri itakupa shida jichange ununue mpaya 1m unapata hd safi