Aisee, inamana hawajaja basi watakuwa wanadharauWako wapi?
Achana na hilo wazo wewe, nani anataka maused ya guitar? Siku izi bongo si ka zamani
Mtu anataka kutumia fursa wewe unampotosha.
Uelewe, Kwa uchumi wetu Watanzania kumudu bei ya vifaa vya muziki vipya si kitu rahisi.
Sibishi, vipo ila ni kama mapambo huko madukani kutokana na bei kuwa kubwa sana kulinganisha na uwezo wa wateja ambao ni wasanii.
FAHAMU TU BONGO LICHA YA KUPIGWA MARUFUKU BADO TUNAUZIWA CHUPI, SIDIRIA,SOKSI MPAKA MATAULO YA MTUMBA.Hulijui hili?
NINI VIFAA VYA MUZIKI Ikiwa wasanii wenyewe ni choka mbaya.
Shukran kwa kumfahamisha huyu kijana, ndio maana waafrica hatuendelei kwa kuvunjana tamaa kama za huyu.
Mkuu mm nimesafirisha 1.26cubic meter stuffs zangu za nyumbani toka Tullemale Int A/port (australia) to Dar vitu kama home appliance, keyboard, guitar, home theatre, tv, toys, scooters, pram, strolley na nikalipa AUD 2695 (usd 2200) lakini sijaona tofauti kiviile kama ningenunua tu huku bongo ingawa vingine ofcoz havipo huku Tz.
Labda uko ulipo kuna alternative ya usafiri & tra pale cargo lounge sioni km galaton ni deal wkt veta moshi wanaunda very classic galatons..anyway sikukatishi tamaa but it may not be worthy
Usafirishaji kwangu sio deal kwani kila week tunasafirisha mizigo, tunachargiwa hela ndogo tu, mzigo kama wako huo hapa UK ni pounds 200 mpaka 300, wakati mwingine huwa na gari na kuitia kwenye gari, na huchargiwa bei ya gari tu.
Kama unataka kufanya biashara ya used UK usafiri wake rahisi kidogo kutokana na wasafirishaji ni wengi sana, kila siku watanzania wanapakia contena.
Mkuu wanakupotosha bei inategemeana na gitaa ....mfanp Dar Yamaha galatoni ni SH. laki tano kuna mengine ni 250,000/= , mpaka ya 150,000/= yapo ! ya umeme ni hivyo mengine hadi laki 600,000/- ....Niletee zawadi ya Galatone kwa kukupa facts!
Huyu ndiye kajibu straight, wengine mnazunguka tuuMkuu wanakupotosha bei inategemeana na gitaa ....mfanp Dar Yamaha galatoni ni SH. laki tano kuna mengine ni 250,000/= , mpaka ya 150,000/= yapo ! ya umeme ni hivyo mengine hadi laki 600,000/- ....Niletee zawadi ya Galatone kwa kukupa facts!