uncle virus
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 126
- 296
Jukwaa la historia walijadili sana hii mada@Pohamba njooHabari Wakuu,
Naomba niende kwenye mada. Ningependa kujua asili au chimbuko la B2M. Kwa wazoefu na wakuu wa umri na uzoefu kwenye masuala ya mipango na siasa nadhan hii team sio ngeni kwenu...
nilijua nipo peke yanguAmbao hatuelewi kabisa hii mada tujuane!
Mi mmojawapo.Ambao hatuelewi kabisa hii mada tujuane!
Watakuwepo Chato!Boys 2 men what a team huh
Sijui mengi sana ila hawakujuana barabarani that’s for sure
Nimeupitia mkuu, na nyingine nyingi ila wengi wanaanza kuwazungumzia kwenye harakati za kuanzia mwaka 95.Uzi husika uko hapa
Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma - Julai 04, 2001
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana! Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa mifugo kutoka huko Pemba. Ni nani aliediverge hii issue na hatimae kuondoka na Dkt Omary deceased...www.jamiiforums.com
Kinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.Code ngumu sana mzee legeza kidogo
Umepumzika vya kutosha, endelea kumwaga nondo mkuuKinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.
Naam mkuu, tupe huu urithi adimuKinachojadiliwa hapa ni wanamtandao ambao urais kwao lilikuwa swala la live or die 2005.Vinara wao walikuwa Ni Lowasa na Kikwete na ndo waliitwa boys to men.Kulikuwa na SS ,six wa standard and speed,Aman Karume ,wasomi kama. Prof. Mkandala,waandishi na nguli wa habari Kama salva Rweyemamu na king maker Rostam Aziz.Joka la Makengeza na wengineo.Lowasa na Kikwete walikutana Udsm na baada ya kumaliza chuo wote walienda kutumikia CCM.Nimechoka kuandika.
Harakati za king maker Rostam Aziz zilianzia kwenye kupiga pesa na kujenga ukaribu na CCM vijana waliojenga urafiki mkubwa kwa kuwa hawakukutana barabarani.Vijana hawa wakajitosa kwenye mbio za urais 1995 ,walikodi ndege moja hadi Dodoma kuchukua fomu za urais.Hapa JK kidogo aukwae urais sema kura hazikukidhi vigezo kura zikarudiwa ndo mzee wa Lupaso a k a mzee wa wapumbavu na malofa akatoboa.Nyuma kidogo hapo ilitokea nafasi ya ubunge wa Igunga baada ya kifo Kama sikosei cha Charles Kabeho,king maker akagombea uchaguzi mdogo na kushinda.Mwanangu nyota yake si ikapaa bana,mpaka kufika 2005 ,king maker akawa ni mweka hazina mkuu wa CCM .Utasema nini hapo ndugu yangu.Naam mkuu, tupe huu urithi adimu
Yaani mpaka nilivyousoma huo uzi wa "wa utata wa kifo cha Dr Omary"Uzi husika uko hapa
Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma - Julai 04, 2001
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana! Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa mifugo kutoka huko Pemba. Ni nani aliediverge hii issue na hatimae kuondoka na Dkt Omary deceased...www.jamiiforums.com
Mule mule mkuu, heshima kwako kiongozi...Harakati za king maker Rostam Aziz zilianzia kwenye kupiga pesa na kujenga ukaribu na CCM vijana waliojenga urafiki mkubwa kwa kuwa hawakukutana barabarani.Vijana hawa wakajitosa kwenye mbio za urais 1995 ,walikodi ndege moja hadi Dodoma kuchukua fomu za urais.Hapa JK kidogo aukwae urais sema kura hazikukidhi vigezo kura zikarudiwa ndo mzee wa Lupaso a k a mzee wa wapumbavu na malofa akatoboa.Nyuma kidogo hapo ilitokea nafasi ya ubunge wa Igunga baada ya kifo Kama sikosei cha Charles Kabeho,king maker akagombea uchaguzi mdogo na kushinda.Mwanangu nyota yake si ikapaa bana,mpaka kufika 2005 ,king maker akawa ni mweka hazina mkuu wa CCM .Utasema nini hapo ndugu yangu.