Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri

Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri

Uwe na kadi ya CCM, connection kwenda halmashauri husika,uwe tayari kutoa asilimia 15 hadi 20 ya pesa utakayokopeshwa (zunguka mbuyu).
 
Hata Mimi nilitaka kujua hela zimetoka ndo tunataka kuzifanyia ujasiliamali yani Sina biashara yoyote, ila Nina idea
 
Ukiipata hiyo hela mm namtoa kafara TUKANA UONE. Hizo hela uwe usajili wa kikundi ngazi ya kata na muwe na namba ya bank ya pamoja.

Usajili wa kikundi ni muwe na katiba a kikundi na mfate mchakato wa usajili wa kata. Hapo ma kasafar karef kidogo ila kama mna konekshen kule wilqyan hata siku 3 mnachomoa hela
 
Back
Top Bottom