cetterhutter
Senior Member
- Sep 5, 2017
- 167
- 75
mkuu naona iphone huijuiHazidumu na chaji muda mrefu
Camera nayo hazina mn'gao angavua Kama tecno yangu
Ubora wake Ni kwenye security wako bomba Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo tecno ni nzut kuliko iphone. I think you're jokingHazidumu na chaji muda mrefu
Camera nayo hazina mn'gao angavua Kama tecno yangu
Ubora wake Ni kwenye security wako bomba Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea kwenye chaji mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo tecno ni nzut kuliko iphone. I think you're joking
Sent using samsung galaxy grand prime pro
Processor za tecno hazina ubora na zipo slow ndio maana chaji inakaa muda mrefu. Lakini iphone wanatumia processor zenye ubora zaidi ndio maana chaji inaisha haraka sana
[emoji2] [emoji2] kumbe iphone ni dhamana isiyohamishikaUkiwa na iphone ukienda kumpiga mtu kibomu cha pesa anakupa bila waswas anajua utamrejeshea soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww mwenyewe upo samsung grand prime [emoji23][emoji23]huijui IPhone kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo tecno ni nzut kuliko iphone. I think you're joking
Sent using samsung galaxy grand prime pro
Kwahyo we ukishakuwa na gari na IPhone huwezi omba kazi au mchongo? Fikiri kwa Kutumia kichwa labda kama unaongelea kuomba biai phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..
lakini kwa mtu ambaye jobless, nyumba umepanga, gari huna, biashara huna ya kueleweka.. kwa mwezi kipato chako less than a milioni..
achana na ma i phone.. tumia tecno hela zinazobaki wekeza.. wekeza na wekeza...
ni ushauri tu..
maana nakutana na mdada au mkaka ana i phone ya laki 7 au milioni ananiomba kazi au mchongo mdogo sana huwa nashangaa sana
i phone ni simu za watu wenye kipato kikubwa..