Naomba kujua timu bora mchezaji bora na golikipa bora kiungo bora na mashabiki bora wa VPL

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Kama wametajwa leo uwanjani tujulishane wapendwa hio list hapo juu
 
KAMA WAMETAJWA LEO UWANJANI TUJULISHANE WAPENDWA HIO LIST HAPOJUU
List kamili nadhani bado haijatoka ila anza na hii

1. Bora Timu amechukua Simba A.k.a Mapaka ya Msimbazi

2. Bora Mfungaji kachukua Diego kiiza

3. Bora Golikipa kachukua Angban

4. Bora Msemaji jackpot imemuangukia
Haji Manara

5. Rais wa Mambumbumbu tuzo kwa Aveva

6. Wamiliki wa Mambumbumbu wote Pope na Kaburu

7. Timu ya Ligi kuu iliyochukua vikombe vingi vya mchangani Simba SC

Tuzo zingine wadau watamalizia
 
KAMA WAMETAJWA LEO UWANJANI TUJULISHANE WAPENDWA HIO LIST HAPOJUU
Hapana mkuu hawakutaja nadhani mpaka Ligi iishe.
But kwa maono yangu itakua hivi :
Kipa bora Manula/Munishi.
Mchezaji bora - Ngoma
Kiungo bora - Kamusoko
Mfungaji bora - Tambwe
Timu bora - Yanga
Kocha bora Hans
 
Hapana mkuu hawakutaja nadhani mpaka Ligi iishe.
But kwa maono yangu itakua hivi :
Kipa bora Manula/Munishi.
Mchezaji bora - Ngoma
Kiungo bora - Kamusoko
Mfungaji bora - Tambwe
Timu bora - Yanga
Kocha bora Hans
HAHAAA KWA STYLEE HII CHAMA BORA CCM AKUNA UBITHI
 
  1. Kipa Bora nampa Aishi Manula amecheza mechi nyingi na kuokoa mabao mengi ya dhahiri ingawa hata Nduta alikuwemo lakini mara nyingi alikua on and off
  2. Mshambuliaji Bora nampa Elias Maguli maana amecheza mechi chache ila wastani wa mabao yake ni mkubwa
  3. Kiungo Bora kweli nampa Kamusoko maana nimemuangalia ana vitu vingi ikiwemo nidhamu na accurate passes licha ya kwamba ndiye kiungo aliyefunga funga sana
  4. Mlinzi Bora kabisa nampa Juma Abdul kwani assist zake nyingi zimechagiza magoli ya Yanga
  5. Washabiki Bora nawapa Simba ambao licha ya kuwa kwenye kiwango cha masikitiko bado walijitokeza kwa moyo mgumu na hasa wakati mgumu sana ingawa wapo wachache sana walitaka kupopoa viongozi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom