Naomba kujua Taratibu za kuonana na waziri

fab280391

Senior Member
Jul 29, 2015
122
31
Habari, Samahani.. Kwa yoyote anayefahamu taratibu za kuonana na waziri Wizarani kwake katika hii serikali yetu ya Tanzania. Naomba atujuze
 
Back
Top Bottom