Naomba kujua Rita ilipo

E.l.ve

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
134
Reaction score
22
Wana jf naombeni msaada kwa mwenye kufahamu Rita ilipo.ni sehemu wanayotengeneza vyeti vyakuzaliwa.nataka 2mr nikalipie.sasa sifahamu mahali ilipo kwa hapa Dar,na kiasi gani wanatengeneza.
 
fika muh2 chukua tax mwambie drev nipeleke rita au kama una usafir ni pm nikujuze
 
Iko upanga karibu na wodi ya watoto muhimbili, kuhusu bei sijui lakini ninachofahamu ni kuwa unatakiwa kujaza form kabla ya kupata cheti.
 
Kwani hawana matawi huku mikoani? If so, basi TZ ni DSM tu!!!!!!!!!!!!
 
Hata Magemeni pale halmashauri ipo. Kwa mikoani nenda bomani.
 
Iko upanga karibu na wodi ya watoto muhimbili, kuhusu bei sijui lakini ninachofahamu ni kuwa unatakiwa kujaza form kabla ya kupata cheti.

Ukifika hapo ni karibu sana unaingia mtaa wa Kipalapala.
 
bei ya cheti ni tsh 20,000/ ,ila hadi ulipie ni lazima ama uoneshe cheti cha leaving Form Four ama Six, au kitambulisho cha kupigia kura,kama hauja zaliwa Dar,ndipo utapewa form ya kujaza na itabidi uwe na mtu mwingine ambaye atakua shahidi wa yale uliyo jaza atapo ulizwa na maofisa wa hapo Rita, Kama umezaliwa Dar ,itabidi upate tangazo la hospitali la ulipozaliwa na ndio upeleke rita waweze kukuandalia cheti .Kwa kawaida huchukua kama siku tano hivi cheti kiwe tayari tangu siku uliyolipia. Ukikwama ni PM naweza kukushauri zaidi.
 
namie cheti cha kuzaliwa sina inabidi nifanye mpango niende rita maana ni muhimu xana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…