Iko wap hiyo nembo?Naomba kujua nini maana ya nembo hii kwenye bidhaa mbalimbali
Hiyo apo kwenye Avatar yako ?Naomba kujua nini maana ya nembo hii kwenye bidhaa mbalimbali




Hiyo huitwa bar code.hiyo mistari ina electronic information ambazo husomwa na kifaa kinaitwa bar code readerkama zile zilizopo kwenye vitabu ina mistari mingi mweusi na namba. picha inanigomea kupost
Nimechanganya kwenye kutoa maelezo "kwenye ulimwengu wa kibinadamu/sayasnsi" ni namba zinazotolewa na taasisi!Hiyo ni alama ya mnyama ( kuna namna ya kijanja ukizijulisha hizo namba zote unapata 666) hiyo ni kwa jicho la kiroho lkn ktk ulimwengu wa kiroho hizo ni namba za kitu kilichothibitishwa na taasisi flani kwa makusudi au lengo elekezi!
Hiyo ni barcode, inasaidia kutrack bidhaa kwenye store mfano supermarket kuna kifaa kinaitwa barcode scanner ambacho kinatoa infrared ambayo ikumulika kwenye hiyo mistari kwenye computer muuzaji anajua ni bidhaa gani na ni bei gani hana haja ya kujaza hizo infos, na hapo hapo kwenye stock inajipunguza kuwa bidhaa flani imeuzwa automatically, hiyo mistari ni sawa na hizo namba zilizoandikwa chini ila waliamua kutumia mistari kwakuwa kwakuweka namba ni rahisi namba kufutika na kushindwa someka lakini mstari ni vigumu kufutika wote maana hata ukifutika kidogo bado itasomekakama zile zilizopo kwenye vitabu ina mistari mingi mweusi na namba. picha inanigomea kupost
ohoo! tutakwisha kama ni kweli mkuu.Hiyo ni alama ya mnyama ( kuna namna ya kijanja ukizijulisha hizo namba zote unapata 666) hiyo ni kwa jicho la kiroho lkn ktk ulimwengu wa kiroho hizo ni namba za kitu kilichothibitishwa na taasisi flani kwa makusudi au lengo elekezi!
Acha kukaririshwa mambo wewe! Ufafanuzi umeshatolewa hapo, kuwa hiyo ni 'Bar Code'Hiyo ni alama ya mnyama ( kuna namna ya kijanja ukizijulisha hizo namba zote unapata 666) hiyo ni kwa jicho la kiroho lkn ktk ulimwengu wa kiroho hizo ni namba za kitu kilichothibitishwa na taasisi flani kwa makusudi au lengo elekezi!
Hivi ulishawahi kusoma na kujaribu kujua hizo barcode ni nini na ziko aina ngapi au unadaka mambo tu un unaongea mkuu? Hizo barcode ziko za aina zaidi ya tatu na kila moja ina utofauti na nyenzake lakini ambayo ni mashuhuri ni hiyo jamaa aliyopost ambayo ndiyo American standard.Hiyo ni alama ya mnyama ( kuna namna ya kijanja ukizijulisha hizo namba zote unapata 666) hiyo ni kwa jicho la kiroho lkn ktk ulimwengu wa kiroho hizo ni namba za kitu kilichothibitishwa na taasisi flani kwa makusudi au lengo elekezi!
ahsante kwa ufafanuziHiyo ni barcode, inasaidia kutrack bidhaa kwenye store mfano supermarket kuna kifaa kinaitwa barcode scana ambacho kinatoa infrared ambayo ikumulika kwenye hiyo mistari kwenye computer muuzaji anajua ni bidhaa gani na ni bei gani hana haja ya kujaza hizo infos, na hapo hapo kwenye stock inajipunguza kuwa bidhaa flani imeuzwa automatically, hiyo mistari ni sawa na hizo namba zilizoandikwa chini ila waliamua kutumia mistari kwakuwa kwakuweka namba ni rahisi namba kufutika na kushindwa someka lakini mstari ni vigumu kufutika wote maana hata ukifutika kidogo bado itasomeka
Mrembo wangu,wanaume tunapokuwa tunazungumza mambo mazito unapaswa kuwa chumbani unacheza na mtoto,soma vzr kitabu cha ufunuo (hizo namba ukizijumlisha kwa namna ya kijanja unapata 666)Acha kukaririshwa mambo wewe! Ufafanuzi umeshatolewa hapo, kuwa hiyo ni 'Bar Code'
Ajabu wewe unalazimisha iwe 666, Huo si ukilaza?