Inasemekana inapasua kioo cha ndani cha simu.
Na ukiieweka umeweka huweza kuitoa; hata kama ukibahatika kioo cha ndani kisipopasuka, ikitokea fraction yoyote na unataka kubadili protector lazima kioo cha ndani kitapasuka tu.
Ni mfano wa kumwaga aina ya gundi kama super glue kwenye kioo.....kuna mawili, either kioo kipasuke au wakati wa kuitoa hiyo super glue iharibu kioo.
Nadhani umeelewa kiasi.