Kuna watu humu walikuwaga wanatoa elimu hii bure humu jukwaani @Pasco Rakims @ Mshana Jrhabari zenu .....wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya hayo mambo yanayotendeka kwa muda huo....pia naweza kua nimemkumbuka mtu halafu namuona hata kama hatujaonana siku au muda mrefu au naweza kuhisi mtu fulani atanipigia simu na anapiga simu siku hiyo .Je hii ndo de javu au kuna kitu kingine.
Tobaaa..nn maana ya De ja vu maana according to ww inaelekea maana yake ni tofauti na wachangiaji wengine hapo juu.. tudadavulie mkuu tuongeze maarifa[emoji6] [emoji6]Inaaminika De Ja Vu ndio hali inayomtokea mtu wakati wa kukaribia kukata roho...na inamtokea kwa muda mrefu sana
DE JA VU NI NINI?Tobaaa..nn maana ya De ja vu maana according to ww inaelekea maana yake ni tofauti na wachangiaji wengine hapo juu.. tudadavulie mkuu tuongeze maarifa[emoji6] [emoji6]
Naomba uni tag piaBasi ni sawa wakuu ntalifanyia kazi hili wazo wandugu.
Ila kiukweli hawa viumbe tunapishana nao sana mitaani na haya mambo yapo wakuu.
Tuko pamoja wandugu.
Thanks.
duuh hakua binadamu alikua nani mkuuSijui aisee kama ndio deja vu au laa. Ila niliwahi kusoma humu uzi wa @Pasco kuhusu Psychic Powers ambazo kila mtu anazo tangu utoto ila huwa zinapungua/zinazidiana kadri ubongo unavyozidi kujaa mambo mengi ya nje. Tafuta huo uzi utaelewa zaidi.
Hilo suala la kumkumbuka mtu then ukamuona siku hiyo pia ni uwezo wa akili sjui niite ni connection kati ya mtu na mtu ila kwa mimi ilikuwa inanitokea kwa jamaa yangu mmoja tu ambaye nimekaa nae kwa muda wa miaka mitatu ila sikuwahi kujua anapokaa na ilikuwa nikimuuliza hataki kusema.
Huyu jamaa ilikuwa siku nikimuwaza au kumkumbuka ni lazma siku hiyo nionane nae. Lakini baadae nikaja kujua kuwa hakuwa binadam.
By the way tafuta huo uzi wa @Pasco.
Shukran.
una maanisha tulishawahi kuishi auHakuna jipya chini ya jua, mambo yalishatokea na yataendelea kutokea (kujirudia)
tupo wengi sana [emoji38] [emoji38] [emoji38]i thought i was alone........ or some how dreaming... kumbe tuko weng
Mkuu huo uzi wa pascal upo jukwaa gan niutafuteDE JA VU NI NINI?
De Ja Vu ni hali ya kiasili kabisa na ya kiuwezo wa pekee inayomtokea Kiumbe cha Mungu na ni hali ya kufahamu yanayomtokea mbeleni, au muda mfupi ujao kwa kurecall hali hiyohiyo iliyowahi kumtokea kipindi flan katika maisha yake na akairecord katika kumbukumbu bila kujua hiyo siku itajirudi baadaye maishani.
Pasco alieleza vizuri kwa kiasi chake.
Kiimani ama kiroho, hali hiyo hiyo ndiyo itakayomtokea mtu kabla ya kufa kwake kwa kukumbushwa kwa kuona kabisa yaliyotokea maishani mwake tangu kuzaliwa kwake ila hatakuwa na uwezo kwa kuzungumza.
Hali nyingine itakayomtokea mtu ni ile ya sleeping paralysis.
Nakumbuka ni jukwaa hili hili...utafute tuMkuu huo uzi wa pascal upo jukwaa gan niutafute
Mkuu kwa lugha nyepesi...mkuu brazuka mimi umeniacha aisee! huwa inanitokea sana hata mimi ila sielewaji maana yake nini.
Meditation???? Kwa nini???wakuu,m nna story ndef kdogo lakin niseme tu mamb mengi nayopitia now nlishawah kuyaota ktambo mengne toka o level huko ni ktambo,ila bado mengne meng nayasubir yatokee,lakn vile vile nna kawaida km nikiota ndoto nzur kesho yak tukio baya utokea,km ndoto ni mbaya kesho lazma ntoboe sana,na km nmeonda alaf kesho yasitokee bas yao unikutaga mbelen tna huwaga mambo mazur,baada ya kujiona iv mwenyewe nkajipeleka kwenye meditation ,n hayo tu wakuu
Mkuu, hii huwa inanitokea sana tu. naweza kuwa nafanya jambo fulani or kwenda sehemu fulani but mazingira yale ni kama nimewahi kuwepo lakini kwa njia ya ndoto. naweza kuota na nikasahau but once naweza kuwa sehemu then ile ndoto ikajirudia/nikakumbuka kuwa haya maeneo siyo mageni....The term déjà vu is French and means, literally, "already seen." Those who have experienced the feeling describe it as an overwhelming sense of familiarity with something that shouldn't be familiar at all. Say, for example, you are traveling to England for the first time. You are touring a cathedral, and suddenly it seems as if you have been in that very spot before. Or maybe you are having dinner with a group of friends, discussing some current political topic, and you have the feeling that you've already experienced this very thing -- same friends, same dinner, same topic.