Hako kanaunganishwa kwajuu kule kwene mdomo Tenk ama kisima chamaji.kazi yake nikufunga automatic maji yakijaa hadi pomoni kwahiyo inasev cost ya malipo yabili mana hakuna maji hata tone utakayokuta yamemwagika.pia inaondoa ule usumbufu wakuamka usiku kwenda kuangalia kama tenk limejaa ili ufunge maji ama upo kwene mihangaiko yako lkn unawaza hivi maji yakitoka na tenk likajaa itakuaje..WAZEE WA PLUMBING watakuja kuelezea kitaalamu zaid