Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,857
- 2,089
Tz sehemu gani?Hallow, tena Habari kaka wazee na dada.
Leo nipo humu naombeni kujua makadirio ya Ruby gram 2 iliyo pure kabisa, kutoka hapa Tanzania ni kiasi gani kwa masoko yetu ya kwetu Tanzania?
Naamini nitapata majibu yalo na uhakika kwa sababu nawaamini ndugu zangu JF.....
Tupia picha ikiwa kwenye kiganja cha mkono wako, nitakupa taarifa zote
MorogoroTz sehemu gani?
Umepata?Tupia picha ikiwa kwenye kiganja cha mkono wako, nitakupa taarifa zote
Acha utani I'm seriousmagonga hayo hata buku hupati
Mh! Mzee ni kweli spinel mbona naambiwa ni ruby,Hiyo sio ruby ni spinol.spinol gram ni mil25 ruby hakuna tz
Ooh asante ndugu yangu nashukuru,Sio ruby?hiyo ni spinol ya msumbiji ya tanzania kidogo imefifia rangi
Bado au umeni pm?Umepata?
OK nimeiona ngoja niwasiliane na jamaa zangu
NimekuPMOK nimeiona ngoja niwasiliane na jamaa zangu
PowaNimekuPM
IPO sema tyu hujui IPO WAP tuulize sisi tuonajua IPO wapiruby hakuna TZ?? huu ni ulongo atiii