Mkuu molases inapatikana kwa wingi na pengine kuwa bei nafuu zaidi kwenye maeneo yote viliko viwada vya sukari.
Kwa ukanda nilipo(Mtibwa sugar) sahizi ni off-season so molases ipo mtaani dealers walinunua kipindi cha msimu wakahifadhi.
Wanauza retail kwa kipimo cha dumu la plastic litre20@tsh17000-25000.
Hii ni taarifa fupi tu nimeona vyema kukujuza.
Tupo pamoja mkuu na ntakuwa tayari kwa ushirikiano kufanikisha mipango yenu...Asante kaka. Kukiwa na mahitaji, utakuwa wa kwanza kutafutwa.
Biology is a study of living things
History is the study of past events
Jamani hivi Molasis ndio nini nasie tujue,au ndio wingi wa neneo Moles kwenye physics,mnanikumbusha mbali wakati na Cremua huku nimetizama juu ya bati