Naomba kujua Bei ya mabati ya ALAF

Naomba kujua Bei ya mabati ya ALAF

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
177
Naomba kujua Bei ya mabati migongo midogo kutoka kiwandani. Rangi ninayopendelea Ni carrot
 
msaaada naombeni kwa anaefaham nauli ya dar to singda anmbie
 
bei kwa Gauge 28 migongo mipana ni 16400 kwa mita moja, gauge 30 ni 450000 kwa bandle lenye bati 16 zenye urefu wa futi kumi
 
Nakushauri uwende mwenyewe kiwandani kwao
Tena amtafute muhusika mwenyewe mana sehem kama hizi utakutana na lundo la madalali limejazana kwenye mabench karibu na sehem ya biashara
 
bei kwa Gauge 28 migongo mipana ni 16400 kwa mita moja, gauge 30 ni 450000 kwa bandle lenye bati 16 zenye urefu wa futi kumi
migongo midogo gauge 28,futi 10 au 11 zile bati za rangi ni shs ngapi kwa bando moja.?mkuu
 
Na sisi wa mikoani vp?
Mfano wilaya ya mwanga mkoani Kilimanjaro
Stail ya kigae bando ni sh.ngp?
NA ya rangi gage 28 bando ni sh ngp
 
Back
Top Bottom