Ndugu wadau wa jf naomba mwenyekujua bei ya simu hii iphone 8, mpya originala. Kingine naomba mwenyekujua hii simu anijuze nataka kutumia hii simu ikoje katika matumizi yake kati ya hii iphone 8 na iphone 8 + .
Na iphone 7 ipi bora japo mimi nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo kuishika mkononi inashikika.
Natumia simu mbili iPhone 7 plain na iPhone X,mkuu nakushauri nunua iPhone 7plain kuliko iPhone 8plain ,kwa kuwa iPhone 7 plain capacity ya berti ni kubwa kuliko iPhone 8,na vitu vingine vyote zipo sawa

Ndio maana nikasema utofauti wake ni mdogo sana tena sana na kuhusu ram umekurupuka zote zina ram 2,au unachanganya na IPhone 7plus na 8plus!?,bangi sio nzuri