K kabahise Member Joined Jul 14, 2016 Posts 10 Reaction score 2 Dec 1, 2018 #1 Habari wanajamii forum, naomba kujua mahali na mawasiliano ya sehem wanapouza cement Dangote kwa bei ya kiwandan, mm nipo mkuranga Pwani. Natanguliza shukran
Habari wanajamii forum, naomba kujua mahali na mawasiliano ya sehem wanapouza cement Dangote kwa bei ya kiwandan, mm nipo mkuranga Pwani. Natanguliza shukran
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 63,418 Reaction score 96,540 Dec 1, 2018 #2 Cement zinarange kati ya 13000 mpaka 20000 inategemea na sehemu.