Naomba kujua basi zuri na nauli kutoka Bukoba-Dar

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Nov 7, 2012
1,976
3,127
Habari!
Nipo karagwe natarajia jioni nisafiri kwenda Bukoba kwa ajili ya safari yangu kesho ya Dodoma, naomba kwa wenyeji na wazoefu wa njia hiyo wanisaidie basi nzuri pamoja na nauli ya Bukoba to Dodoma kwa mabasi yaendayo Dar. Asante na karibu kwa mchango.
 
Mohamed trans...kipindi hicho ilikuwa 50000/= sa inawezekana now ikawa imepanda ila siku hizi mabasi yamekuwa mengi kama upo dar nakushauri uende ubungo kabla ya safari au wahi mapema siku ya safari kisha kagua gari kuona sifa za gari unalotaka hakikisha unakata tiketi yako kwenye gari unalolipenda wewe..... NB epuka wasindikizaji watakaokupokea pale ubungo wengi ni mataperi unaweza kujikuta unakatiwa tiketi kwa bei ya juu ukiwafata
 
Edd

Eddy jamaa anasema yupo Karagwe huko huko Kagera anasafiri jioni hii atalala Bukoba mjini na alfajiri anasafiri kwenda Dar.Hivyo hawezi kuanzia Ubungo.Ni lazima apande basi lake Bukoba (Stand chafu na za ovyo kuliko zote duniani) kuelekea Dodoma...Mimi ninamshauri kuwa kati ya mabasi ya OTA,ADVENTURE,RS na REX ni bora apande PRINCESS MURO kwa bei nafuu na huduma bora pamoja na kuwa endapo kutakuwa na break down ni Kampuni kubwa na yenye mabasi mengi,
 
Asanteni nyote kwa michango yenu! Nimefika salama Bukoba na nimekuta baadhi ya mabasi mliyopendekeza hapa kama RS zimejaa na Adventure hawapo njia hii kwa sasa chaguo limeangukia otta japo nayo nimeambulia siti za mwishoni ambazo sipendelei, hiyo kampuni nimewahi kusafiri nayo hivi karibuni- Dar to Kigoma na hata songea to dar japo kule wameziita Ilyana.
 
muro ya janaa.. sio muro ya leoooo
 
Safar njema mkuu
 
Back
Top Bottom