[emoji23][emoji23]umeamua uwe mstaarabu ghafla nachotaka kukwambia ni kuwa jaribu kujiajiri mimi mwenyewe hapa ni mwalimu wa mathematics & physics lakini nipo kitaa nakomaa wala sina mpango na ajira leo hii nilikuwa kariakoo kununua computer zaidi ya tano kwa ajiri ya internet cafe na stationery bado na mpango wa kesho kwenda kununua printer ya million tatu na camera ya milion moja na nusu pia nina ofisi zingine maeneo tofautitofauti hapa dsm
Leo nitume maombi ya kuwa mwalimu inisaidie nini?
Mkuu fikiria mara mbili najua uko above 25 years unataka kwenda kujitolea 4 hadi 5 t
years tena bure mamaaaaa machozi yananilenga navokuonea huruma
Mwenzio nilianza bila mtaji ndugu walinitenga niliumwa kunichangia 30000 ilikuwa shughuli lakini leo haipiti wiki lazima waniombe vilakilaki
Pumbavu zako(sikutukani wewe namtukana shetani alishika ufahamu wako)
Hata hufikirii kuwa miaka mitano hio ukiamua kujidharau na ufanye biashara hata yA kuuza maji na toroli utakuwa wapi kuliko ukaenda kugongoza binti wa shule?
Hatahufikirii kuwa ujuzi wako na elimu yako kwanini uziandike kitini na ukauza kwa hao wanafunzi ?
Sasa nakupa ofa : kama upo dar andika kitabu chako cha kiswahili,geography au civics wewe kazi yako utakuwa unanunua karatasi mimi nakuprintia na kukutolea copy bure na pia nitakuelekeza jinsi ya kufanya binding na utafanyia hapa hapa ofisini kwangu bure mimi sitaki hata mia yako
Nisamehe kama nimekukwaza