Poleni na mihangaiko ya kutwa wakuu, napenda kujifunza toka kwenu mambo kadhaa juu ya biashara ya stationaries, kifupi nataraji kuanzisha kampuni ya ununuzi na uuzaji wa bidhaa hasa stationery material huko mkoani, lakini natambua ktk jukwaa kuna wataalam na wazoefu wa shughuli hizi, napenda kujifunza toka kwenu pia nipo tayari kukosolewa pale ninapokuwa nje ya mstari, machache nayopenda kufaham toka kwenu ni haya:
a. Ni taratibu gani ambazo mtu anaetaka kufungua kampuni ya biashara hii
b. Je, ni taratibu gani zinapaswa kufuatwa ili kukidhi kuagiza bidhaa nje ya nchi?
c. Je, ununuzi bidhaa nje ya nchi kwa online ni njia njema na vipi kuhusu usalama wake?
d. Ni mtaji kiasi gani unaweza kuwa reasonable kuanza biashara hii?
e. Je, ni viwanda gani vya ndani au nje ya nchi hutengeneza bidhaa zenye ubora na kwa bei nzuri?
f. Nimewahi kuona mahali kuwa ili biashara hii ipate mafanikio vema kujiunga na gspa government supplying procurement agent je taratibu zikoje kwa namna ya kujiunga?
g. Bei ya machine kama plotter kwaajili ya printing ya image kubwa kama a.o ni bei gani? na mwisho mnifunze yote muhimu mlonayo juu ya biashara hii.
Natanguliza shukrani na muumbaji awatie nguvu.
Karibuni