Acha kutokwa povu wewe....mtu mwenyewe wa kuletwa mjini tu hap halafu unajifaragua kama mcheza mkodobwe.
Kama huna cha kuongea kaa kimya, pita kimya au soma walivyoandika wengine sio unakua na kiherehere kama harisho litokanalo na mandondo yaliyochacha.
Tusikaribishe wageni kisa tunafahamu lugha moja zaidi ya kiswahili eboh!!
Ndio maana kina Joti na Mpoki wanakuita deshi deshi ndala fupi!!