Najua una simu ya Itel, Tecno, au Vodafoneipi hiyo kaka
Umeshaweza kuflash?ipi hiyo kaka
Tumia njia ya Wong fei ya Itel. Hiyo Alcatel ni SPDHabari ndugu naomba kwa anae fahamu namna ya ku flash simu aina ya Vodafone(Alcatel)onetouch hii simu niya batani msaada tafadhal
Vipi halotel h6309 (ya batan)Tumia njia ya Wong fei ya Itel. Hiyo Alcatel ni SPD
Hii ni SPD. Tumia njia ya Itel kuflashia simu yakoVipi halotel h6309 (ya batan)
Boot key yake ni ipi, maana hai detect kwnye pc na drivers nimeingizaHii ni SPD. Tumia njia ya Itel kuflashia simu yako
Nina Itel A11 nilinunua Voda shop lazima iwe na sim card moja ya vodacom,tatizo upande wa internet voda inasoma 3G au H^ tatizo line ya tigo inasoma G na E na imeandikwa hivyo ktk setting je nifanyaje ili na line ya tigo isome H^ au 3G?Hii ni SPD. Tumia njia ya Itel kuflashia simu yako
Nenda kwa fundi simu mwenye kifaa doogle mwambie aifanyie ROOTING.....UTAIPETA NA KUIFURAHIANina Itel A11 nilinunua Voda shop lazima iwe na sim card moja ya vodacom,tatizo upande wa internet voda inasoma 3G au H^ tatizo line ya tigo inasoma G na E na imeandikwa hivyo ktk setting je nifanyaje ili na line ya tigo isome H^ au 3G?
Tafadhali
Asante mkuu, je nikiifanyia rooting kwa app za kudownload inawezekanaNenda kwa fundi simu mwenye kifaa doogle mwambie aifanyie ROOTING.....UTAIPETA NA KUIFURAHIA
ulishajibiwa?Asante mkuu, je nikiifanyia rooting kwa app za kudownload inawezekana
Kuna kifaaa kinaitwa doogle au adroid tools kinaunganishwa ktk simu na internet .....kufanya roooting.- huwezi kutumia app za kudownload ...ungekuwa mtaaalumunwa sofwear ningekueleza ungeweza kutumia softwear kama KINGROOT NA PC UKAROOT KWA KUWA SIO MTAAALAMU PELEKA SIMU KWA FUNDI SIMUAsante mkuu, je nikiifanyia rooting kwa app za kudownload inawezekana
Kariakoo nenda