Wanabodi, natumaini muwazima.
Naomba mnisaidie hili
Vigezo vinavyotumika kwa mtu mwenye diploma kusoma degree ni awe na GPA ya 3 na kuendelea lkn pia awe na D nne au zaidi ktk mtihani Wa kidato cha nne. Au kama hana D nne za form four basi awe na NVA level III.
Swali, mimi nina GPA ya 3.9, form four nina C, C, D na F zote ila nilisoma cheti kwanza ndio nikasoma diploma. Nimekosa chuo nimeambiwa sina sifa. Sasa jamani shida ni nini? Au hiyo NVA ndio kitu gani? Kwani cheti huitwa NTA LEVEL 5