naomba kufahamu tatizo hili la dell pc

naomba kufahamu tatizo hili la dell pc

GavanaM

Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
5
Reaction score
0
nina pc aina ya dell inakuwa inaonesha rainbow mistari kwa lcd had inakuwa nyeusi pia baada ya muda taa ya chaja yake ikawa inawaka kama headcater (dimming) na haijachi tena ila inachaji kwenye pc zingine hapo tatizo nini na solution yake nini?
 
Jaribu ku run diagnostics.
Ukiwa una washa pc yako press f12 itatokea menu nyengine alfu utakua una press mshale wa kushuka chini.
Mpka utakapofika kwenye diagnostics then press enter.
Yenyewe itafanya diagnose na kukuambia tatizo ni nini.

sent using samsung galaxy s8
 
thanks kwa msaada

Back
Top Bottom