Naomba kufahamu Sumu ya mchwa

permanides

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2013
Posts
12,440
Reaction score
15,228
Wakuu za jioni?

Niende kwenye mada bila kupoteza muda. Kuna kibanda nimejenga mahali na nimempiga vizuri tu. Tatizo lililopo ni mchwa wanaojipenyeza na kutukezea juu.

Niombe mwenye kujua dawa ya kuwaangamiza hawa wadudu kabla ya kuleta uharibifu mkubwa.
 
Dragnet
 
Tafuta watalamu wa asili waje wamtoe malkia wa wao wakimtafuta wakimpata wakamtos mchwa wote wanapotea ulizia wenyeji wa eneo husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…