The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,251
Post deleted by author!
awe nayo afu awasiliane na nani?Wakuu,
Wakati tunasherekea Sikukuu na kuisubiria "Tanzania ya Viwanda" naombeni kufahamu je Raia wa kawaida asiye katika kazi za kiusalama anaruhusiwa kumiliki Radio call 'simu ya upepo'? maana sijawahi ona mtu wa kawaida akimiliki.
Makampuni binafsi wanakuwa nazo kwa ajili ya mawasilianoWakuu,
Wakati tunasherekea Sikukuu na kuisubiria "Tanzania ya Viwanda" naombeni kufahamu je Raia wa kawaida asiye katika kazi za kiusalama anaruhusiwa kumiliki Radio call 'simu ya upepo'? maana sijawahi ona mtu wa kawaida akimiliki.
Ndio hapo nilikuwa nataka kujua ndugu yangu! kwani ugomvi?awe nayo afu awasiliane na nani?
Makampuni binafsi wanakuwa nazo kwa ajili ya mawasiliano
Hahahahah Hata Mmmi nilicho penda katika uzi huu ni ulivyochomekea hako ka kaulimbiu ka TANZANIA YA VIWANDA.
VIWANDA uchwara.mi nilicho penda katika uzi huu ni ulivyochomekea hako ka kaulimbiu ka TANZANIA YA VIWANDA.
mkuu inabidi tucheke kwa tahadhari maana waziri wa viwanda yuko very active,kaisha sema kua nzia mwakani tunao vaa nguo zisizo zalishwa hapa bongo tutazomewaaaaaaHahahahah Hata Mm
mkuu hilo neno la UCHWARA sikuhizi ni muhali kulitaja hadharani,wenyewe hawatakiii ati ni uchochezii,nataraji hata hapa jf litapigwa ban.maana mimi kila nikiandika neno flani alilotamka muheshimaiwa juu ya wale wanafuzi wa UDOM halitokei zinatokea nyotanyota tuuu.VIWANDA uchwara.
Kwamfano nikinunua mbili moja nampa wife nyingine natumia mimi, kutakuwa na shida?awe nayo afu awasiliane na nani?
Wanazo nyingi tu wauza simu kariakooWakuu,
Wakati tunasherekea Sikukuu na kuisubiria "Tanzania ya Viwanda" naombeni kufahamu je Raia wa kawaida asiye katika kazi za kiusalama anaruhusiwa kumiliki Radio call 'simu ya upepo'? maana sijawahi ona mtu wa kawaida akimiliki.
Una utaalamu na hizi mambo mkuu?Unakua nayo haina shida kabisaa na wala haziingiliani mawasiliano kwa maana kila sehemu kunakua na frequency zao za kuwasiliana.. So naamin yakiraia haiwez ikawa inakamata kwenye military frequency... So cdhan kama ni kes ww kuwa nayo..
Hapana ila nilipata hizo info kutoka kwa jamaa yangu ambae ni askar polisi... Nitaongea nae vizur anipe info zaid then nitakuPMUna utaalamu na hizi mambo mkuu?
Nitashukuru mkuu.Hapana ila nilipata hizo info kutoka kwa jamaa yangu ambae ni askar polisi... Nitaongea nae vizur anipe info zaid then nitakuPM