Naomba kufahamu machache kuhusu bodi ya Ugavi

Naomba kufahamu machache kuhusu bodi ya Ugavi

Joined
Aug 24, 2015
Posts
40
Reaction score
13
Habari zenu members wa jukwaa hili?,
Naomba kupata ufahamu kidogo kuhusiana na mambo kadhaa kwenye bodi hii ya wataalamu wa ugavi na manunuzi (PSPTB)
1. Mtu anaweza kujiunga na kufanya mitihani ya board akiwa angali mwanafunzi wa level fulani mf Diploma au degree ya ugavi na manunuzi ktk chuo hapa nchini au mpaka ahitimu masomo chuoni?
2. Mtu mwenye degree ya ugavi na manunuzi anatakiwa kuwa na sifa zipi ili kujiunga na mitihani ya board?
3. Mtu mwenye degree akihitaji kufanya mitihani ya board ataanzia level gani?
Ahsanteni sana, naomba ushirikiano wenu.
 
Back
Top Bottom