Na mashaka na ww mkuu...Kama wewe ni msichana...wifi maana yake mke wa kaka ako.
hapo kweny blue ckubaliani napo mkuu..Siku hizi ukiwa na smart phone haina haja ya modem, me modem yangu nimeuza kitambo, mambo ya Wi-Fi hayo
hapo kweny blue ckubaliani napo mkuu..
1.kuna watu bado wanatumia desktop ambazo hazina wifi.
2.unapotumia smartphon kama modem ni lazma uwe na simu na pc kwa pa1..Mfn nadownload files kubwa like driverpack solution ambal ni almost 9Gb..ni lazma niiache simu karib na pc((siwez ondoka na simu))
MODEM bado inahitajika..
Wala usiwe mkuu!! jamaa kasema wifi na sio Wi-fi!!Na mashaka na ww mkuu...
Ila ulielewa alichomaanisha..??Wala usiwe mkuu!! jamaa kasema wifi na sio Wi-fi!!
Hili limekuwa tatizo sugu sasa mtu kauliza swali technical wengine wanaleta mizaha sasa nimeamini kumbe ni kweli elimu yetu Tz imeshuka thamani,kama unapenda mizaha uipost kwenye jukwaa la jokes usilete umbumbumbu kwenye jukwaa hili lililojaa elimu na ufundi.Wifi ni Mke wa kakayako.
Hili limekuwa tatizo sugu sasa mtu kauliza swali technical wengine wanaleta mizaha sasa nimeamini kumbe ni kweli elimu yetu Tz imeshuka thamani,kama unapenda mizaha uipost kwenye jukwaa la jokes usilete umbumbumbu kwenye jukwaa hili lililojaa elimu na ufundi.