Wadau naombeni msaada kwa anaezifahamu hizi battery:
Nimejaribu kuziangalia kwenye mtandao lkn bdo cjapata jibu wala sijaweza kuzielewa.
1)zinafanyaje kazi
2)zinatumikaje(application)
alafu kuna sehemu zimeandikwa VALVE REGULATED RECHARGABLE BATTERY(NONSPILLABLE).
MIMI KWENYE MAMBO YA ELECTRONICS CPO VIZURI.
kwa anaezifahamu au mwenye uzoefu wa mambo haya naomba anieleweshe kidogo.