Naomba kufahamu kuhusu Phone Extension

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
242
Reaction score
452
Wakuu kwema?

Naomba kueleweshwa, ukiombwa Phone Extension wakati wa kufanya maombi ya kazi unatakiwa kujaza nini hapo? Na hiyo Phone Extension mtu ambaye hana anaweza kuipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…