Awakener The Lone Wolf
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 259
- 233
Kipo wapi hicho chuo
Nipo mbali ndugu siwezi kufika Dar
Takuunganisha na jamaa yangu alisoma pale akupe information zaidiNipo mbali ndugu siwezi kufika Dar
Shukrani mkuu[emoji120][emoji120]Takuunganisha na jamaa yangu alisoma pale akupe information zaidi
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ndo nasubiriNgoja waje kukupa muongozo...
Kama kichwa cha habari kilivyo wataalamu wa bahari wanisaidie kuhusu ajira za navigation na chuo gani wanafundisha kwa hapa Tanzania na mambo mengine yote yanayohusu husu hiki kitu mtakuwa mmenisaidia sana
Shukrani mkuuKozi za navigation zinafundishwa kwenye Chuo kinaitwa DMI kipo karibu na Azam marine.
Kiufupi kozi za navigation ni nzuri sema tu tatizo linakuja ikifika kipindi cha field hiyo kuipata ni pasua kichwa asikuambie mtu.Tafuta information kamili utanishukuru baadae.