Naomba kufahamu kuhusu gari aina ya Toyota Ipsum

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
474
Naomba kufahamishwa wakuu,

Toyota Ipsum new model ni kuanzia mwaka gani?Nataka niagize hiyo gari ila nimeshauriwa nichukue new model.
 
Back
Top Bottom