Naomba kufahamu alipo mchezaji Nteze John Ringu

oneman

JF-Expert Member
Jun 12, 2016
355
189
Hodi wana JF ningependa kufahamu alipo huyu mchezaji wa zamani wa yanga, Nteze John Ringu na je kwa sasa anajishughulisha na soka?
 
Huyu ndio Nteze John Rungu na familia yake.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-06-13-12-36-57.jpg
    Screenshot_2016-06-13-12-36-57.jpg
    119.3 KB · Views: 181
Nteze john alikua Pamba (tout pizant lindanda)akiwa na wenzake George Masatu(ocd)na Husen Aman Masha,Na baadae ndio wakajiunga na wana msimbazi
Lkn wote hao ni wakazi wa Mwanza (rock city)
Ni muha wa Kigoma...Alisoma Buluba sekondali shinyanga...akacheza timu ya Harimashauri shinyanga...baadaye pamba ya mwanza...akajiunga na Simba kwenye miaka ya 1990...alikuwa ni moto kwa kucheka na nyavu...Marehemu Rifati alipataga shida sana kwa kufungwa magori ya mashuti ya mbali na jamaa..hata jina Rungu nadhani ni Nick name kumainisha alikuwa ana uwezo mkubwa kama Rungu...nilimuona kwenye documentary ya azam akiwa USA.
 
Back
Top Bottom