Naomba kufahamishwa!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,888
Reaction score
29,690
Je kuna madhara gani ya kutumia Laptop wakati umetoa battery nikimaanisha pale unapotumia umeme wa moja kwa moja bila kuwepo na battery katika PC.



Natanguliza shukrani.
 
Binafsi naona hakuna madhara sababu ukitoa betri katika gari iliyokuwa imewaka gari haiwezi zima ila itakapozima haiwezi piga stata.
 
Je kuna madhara gani ya kutumia Laptop wakati umetoa battery nikimaanisha pale unapotumia umeme wa moja kwa moja bila kuwepo na battery katika PC.







Natanguliza shukrani.


Hakuna madhara ya kiufundi, bali kuna madhara ya kupoteza kazi yako ambayo unaifanyia kwenye RAM endapo umeme utakatika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…