BASANORARE JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 313 Reaction score 265 Jan 3, 2014 #1 naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,090 Reaction score 15,206 Jan 3, 2014 #2 basanorare said: naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara Click to expand... inategemea na umri pia jinsia kama umri wako ni mkubwa zitetengeneza uric acid ambayo ina madhara kwa afya
basanorare said: naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara Click to expand... inategemea na umri pia jinsia kama umri wako ni mkubwa zitetengeneza uric acid ambayo ina madhara kwa afya
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 3, 2014 #3 hazina madhara.