Naomba kufahamishwa shule ya Ridhwaa Seminary ipo maeneo gani?

Optimistic_

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
2,347
1,850
Habarini na poleni na majukumu ya hapa na pale....

Nahitaji kufahamishwa shule ya ridhwaa seminary ipo maeneo gani???ila Mimi nachojua ipo wilaya ya Kinondoni lakini sijui ni maeneo gani kwa anaejua anifahamishe.
 
Panda gari zinazopitia Kinondoni shuka kituo cha mkwajuni, ukitoka magomeni hospitali kinafuata moroko hotel I kisha ndio mkwajuni ukishuka tu utaiona upande huo huo uloshukia...
 
Habarini na poleni na majukumu ya hapa na pale....

Nahitaji kufahamishwa shule ya ridhwaa seminary ipo maeneo gani???ila Mimi nachojua ipo wilaya ya Kinondoni lakini sijui ni maeneo gani kwa anaejua anifahamishe.
Fuata maelekezo hayo
 
Back
Top Bottom