Mkumbushe pia kuwa MRI si salama kwa mtu mwenye metal implant (aliyewekewa chuma mwilini) kutokana magnetization kama ulivyoeleza mwanzo.MRI inatumia strong magnetic fields na sio mionzi kama ilivyo X-Ray au CT-scan.hivo kuwa na madhara machache sana ambayo yanatokana na contrasts (dye) ambayo mgonjwa huchomwa kene mshipa na kuingia kene mzunguko wa damu ili kuongeza muonekano mzuri wa picha hasa tissue zenye shida(stain)
So unaweza pata headache,dizziness,neausea au rashes
-kwa watoto wengi huhitajika kupewa dawa za usingizi ili kuwapa utulivu wakati kipimo kinafanyika ,hivo dawa hizo zinaweza kuleta madhara zisipotelewa kwa umakini
Asante.MRI inatumia strong magnetic fields na sio mionzi kama ilivyo X-Ray au CT-scan.hivo kuwa na madhara machache sana ambayo yanatokana na contrasts (dye) ambayo mgonjwa huchomwa kene mshipa na kuingia kene mzunguko wa damu ili kuongeza muonekano mzuri wa picha hasa tissue zenye shida(stain)
So unaweza pata headache,dizziness,neausea au rashes
-kwa watoto wengi huhitajika kupewa dawa za usingizi ili kuwapa utulivu wakati kipimo kinafanyika ,hivo dawa hizo zinaweza kuleta madhara zisipotelewa kwa umakini
AsanteMkumbushe pia kuwa MRI si salama kwa mtu mwenye metal implant (aliyewekewa chuma mwilini) kutokana magnetization kama ulivyoeleza mwanzo.
Pia **** maudhi madogo madogo kama wasiwasi na kelele...
UMEELEZEA VIZURI KIONGOZIMRI inatumia strong magnetic fields na sio mionzi kama ilivyo X-Ray au CT-scan.hivo kuwa na madhara machache sana ambayo yanatokana na contrasts (dye) ambayo mgonjwa huchomwa kene mshipa na kuingia kene mzunguko wa damu ili kuongeza muonekano mzuri wa picha hasa tissue zenye shida(stain)
So unaweza pata headache,dizziness,neausea au rashes
-kwa watoto wengi huhitajika kupewa dawa za usingizi ili kuwapa utulivu wakati kipimo kinafanyika ,hivo dawa hizo zinaweza kuleta madhara zisipotelewa kwa umakini
Madhara ni kama ulivosikia lakini kama unahitaji hicho kipimo huna budi. Cha umuhimu ni kujua baada ya hicho kipimo unatakiwa kufanya nini?Habari wana JF.
Naomba kufahamu madhara ya muda mfupi na mrefu katika mwili wa binadamu baada ya kufanya kipimo cha MRI-Scan.
Natanguliza shukrani.
Habari wana JF.
Naomba kufahamu madhara ya muda mfupi na mrefu katika mwili wa binadamu baada ya kufanya kipimo cha MRI-Scan.
Natanguliza shukrani.