Hapana shaka kuwa Mama Samia Suluhu ni mfano wa kuigwa kwa wanawake wengi interms of discipline,elimu, busara na uwezo wa kuongoza.
Sina shaka kabisa na ubora wa familia yake katika malezi na makuzi ya watoto wake (kama anao)
Nina declare interest kuwa mimi ni shabiki mzuri sana wa mama Suluhu. Tatizo kubwa ni kwamba simjui vyema huyu mama.
1. Ana mume? Wa ndoa au wa 'hapa na pale'?
2. Kama ana Mume, anaitwa nani? Yuko wapi? Anafanya nini?
Hapa msitokwe na mapovu, sote tunajua Dokta Magufuli ana Mke, watoto 7 na mke wake ni Mwalimu wa shule ya Msingi, kwa Kikwete pia tuliijua familia yake.
3. Kama hana Mume, hakuwahi kuolewa? ni Mjane? hapa mkumbuke kuwa sote tunajua Mama yetu kipenzi Anne Makinda hakuwa na mume na habari yake ya huyo mume tunaijua pia. Tunajua pia mama yetu Sofia Simba hana mume wa ndoa, lakini mambo yake sio mabaya.
4. Mama Suluhu ana watoto? Wangapi? wa kike wangapi? wa kiume wangapi? Watoto wake wapo wapi hivi sasa? Tusishangae sana, tunajua Magufuli binti yake mmoja alifariki akiwa Chuo kikuu.
Kwa Jakaya tunajua yupo Ridhi, Mwanaasha, n.k. Je mama Samia hali ikoje?
Nitaendelea, kwa sasa nijibiwe hayo tu...