dabluz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 2,454
- 1,679
Najua hapa kuna wataalam wa aina mbalimbali.. Ningependa kujua au kueleweshwa kwenye hili swala la Mars Retrograde.
Nimesoma kwenye Google lakini naona kama lugha inakuwa ngumu kidogo. "Hili tukio linamaanisha nini hasa kuhusia na mzunguko kati Mars na Earth katika kulizunguka jua kwenye mihimili yap.. Nikweli Mars haiendi strait kama Earth inapozunguka Jua?
Na je nikweli kunakipindi zinapisha hizi makitu?
Nikipata kueleweshwa nitafurahi sana kwasababu wengine wanasema kunakipindi Mars ina rotate from west to east je nikweli ???
Msaaada tafadhali wana Anga