Naomba kufahamishwa faida na hasara za kusoma diploma

Ww uko chuo bado ww! Ivi ni Mwajiri gani anaangalia Matokeo ya form four ndio ajiri? Mkimaliza huko mkakuta kazi ina taka experience fresher mnaanza kutoa povu, Nani ajiri graduate asiejua ABC amharibie kazi????
 
Jamaa sijui Yupo course gani, Yani Ajui Technical issue ilivo kabisa wajili wenyewe wanawakubali mno Watu wa Diploma, coz mtu ameanza ufundi muda
 
Kuna Kampuni ya Kizungu kuna jamma angu alo Apply Kazi Ni kubwa tu Yani jamaa waliwambia watume CV tu bila matokeo ya aina yoyoye kuanzia ya Chuo mpaka sekondari wakisema mtumaji ila ahakikishe na tu ana diploma na O level , Zilipigwa mpaka interview bila muajiri kuwa na Matokeo ya hao anao wa interview walifanyiwa oral, Written na Practical kidogo ,Waliotoboa apo Waliitwa tu later kiverify certificates zao na wakaanza job ikiwemo uyo jamaa angu
 
Mm nashangaaga sanaa mtu anavyosema diploma wako vzr kuliko degree wakat mwl wa diploma ni degree holder wa hiyo fani

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Wewe unasema mwalimu....!! Sisi tunasema mwanafunzi

Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu diploma za afya unapata mkopo????

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Upo lakin hautoki serikalini na haupo wazi kama unavofikiria.
Sema udhamin ndio upo sana mfano MKAPAFOUNDATION na taasisi za kidini yaan wanakulipia ada kwa kusudi uje fanya kazi ktk hospitali zao wanakulipa huku wakikukata chao kwa muda wa miaka miwil then unaweza enda unapotaka.
 
Na unaupataje huo udhamini kaka??

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…