Naomba kufaham tofauti kati ya B.A in Accounting na Bachelor in Accounting and Finance

OnePlus Nord CE

Senior Member
Feb 5, 2019
173
342
Wakuu kama heading inavyojieleza, nilikua naomba kufahamishwa utofauti kati ya hizi kozi mbili: "Bachelor of arts in Accounting na Bachelor of Accounting and Finance". Natanguliza Shukran zangu za dhati
 
Zite sawa , ni majina ya chuo husika tu.ila vyuo vingine vinaweka masomo mengi zaidi kwwnye hip account and finance... Na wote mnakuwa wahasibu au fani inyingine inayoshabiihana....
 
Sidhani kama ni sawa, Finance na Accounting ni major tofauti, ingawa kuna wanaofundisha kama major mbili tofauti na kuna wanaoziunganisha. Zipo BA in Finance na BA in Accounting, na zipo Ba in accounting and Finance (BAF). Lakini nilitaka kukujibu tu kwamba Finance na Accounting ni tofauti, ila ukisoma zote ni maana yake umepata bonus, na ni nzuri.
 
Hakuna tofauti. Wanaosoma accounting lazima watasoma pia modeles za finance, hivyo hivyo wa accounting and finance. Wote hapo major ni accounting na finance ni kajisehemu tu. Finance yenyewe ni major kama ilivyo accounting ila kwa vile zinashabihiana au kuingiliana lazima amaesoma accounting asome baadhi ya masomo machache ya finance vile vile atakaemajor kwenye finance atapitia pitia modules za accounting kwa sababu kuna vitu vitaingiliana.

So anaesoma accounting au accounting and finance, finance hua ni supportive modules na sio core modules lakini hakuna namna atazisoma zote kwa undani, haitawezekana. Finance ni somo lenye uwanja mpana na mambo mengi sana, huwezi kulisoma kwa undani pamoja na accounting, hivyo hivyo kwa accounting.

Majina yasikutishe, zote hizo core ni accounting.
 
Mkuu In short huwezi soma finance na accounting Kwa wakati mmoja ,yaani ziwe Combined ,Finance no kitu kingine kabisa ,unaweza soma miaka mitano ndio umalize sylabus zote ukicombine aise.

Vyuo vinafanya kuongeza baadhi ya course ambazo si lazima sana .na no kunadi programme tu.

Mfano aliesona BaF ardhi kuna course za real estate na econometrics anaongezewa .na wanasoma finance

BAf Mzumbe wanasoma Managerial Finance na international finance

Ifm bachelor of account wanasoma corporate finance and international finance the same to TIA .

Muccobs Baaf ni sawa na vyuo vingine ,utofauti wanaongeza course za Cooperatives.......hii no kutokana na dhumuni LA kuanzishwa chuo husika.

NB:MTU was finance kasoma finance na MTU was accounting kasoma accounting or accounting and finance.........no vitu viwili tofauti .
 
Well said mkuu,nadhani umemaliza
 
Fata alichoongea huyu kamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom