Naomba kuelimishwa kuhusu TCP/IP protocol

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2013
Posts
4,184
Reaction score
3,421
Wakuu nimekutana na misamiati hii kitaalamu kwenye mambo ya ICT ningependa kuyajua kwa kiswahili ndo itakuwa poa zaidi. Misamiati hii ni TCP/ IP protocol, server, cybernet na internet browser program.

Asanteni sana.
 
Protocol ni sheria ambazo pande mbili za mawasiliano zinazitumia kuweza kuwasiliana succesfully. Kwa hiyo mimi nikiandika server software na wewe ukiandika client software ili mradi wote wawili tuwe tunatumia the same protocol hatuna haja ya kuziandika kwa pamoja.

Server ni compyuta kwenye mawasiliano ya network, mara nyingi ndo kule unapotaka kupata data au information fulani au application kuu ilipo, kwa mfano JF inarun kwenye server zao.

Mara nyingi pia ni computer ambazo zimeundwa kuwa na nguvu zaidi kuweza kufanya kazi kwa ufanisi ila sio lazima, hata laptop/simu yako inaweza kuwa server.

cybernet, hakuna kitu kama hiki ila watakuwa wanamaanisha internet.

Internet Browser, program yoyote inayokuruhusu kuangalia website Internet Explore, FF, Chrome, Opera etc.
 
Kang,

Asante sana mkuu japo sijaelewa vizur hapo kwenye protocol mkuu samahani kwa usumbufu, hata hiyo client uliyoisema ndo mara ya kwanza kuisikia

Bado nasubiria mawazo yenu wapendwa
 
Wakuu nimekutana na misamiati hii kitaalamu kwenye mambo ya ICT ningependa kuyajua kwa kiswahili ndo itakuwa poa zaidi. Misamiati hii ni TCP/ IP protocol, server, cybernet na internet browser program. Asanteni sana
Samahani wewe umesomea IT kwa level yoyote?Hivyo vitu hasa TCP/IP protocols si kitu kidogo na unataka kujua hivi vitu kwa level ipi ya definition tu au mpaka mechanism yake jinsi inavyofanya kazi.
 
Samahani wewe umesomea IT kwa level yoyote?Hivyo vitu hasa TCP/IP protocols si kitu kidogo na unataka kujua hivi vitu kwa level ipi ya definition tu au mpaka mechanism yake jinsi inavyofanya kazi.

Kwa definition tu mkuu na kunipa mwanga tu kidogo, mi ICT nimesoma kiwango cha computer basic applications tu pindi nipo chuoni. Kwahiyo hayo mambo mengine hatukufundishwa kabisa. Natanguliza shukrani.
 
Nifafanulie tu kwa kifupi kama unayaelewa nimeingia kwenye net lakini nimeona ni magumu kuelewa

Siku zote kwenye mawasiliano na uchukuzi, kuna sheria au taratibu au itifaki zinazofuatwa kuhakikisha kuwa ujumbe au mzigo unafika kwa mhusika bila kupotea wala kuharibika. Vivyo hivyo kwenye mawasiliano ya internet, kuna sheria zake zinaoitwa protocol.

Unapoongelea TCP/IP - Transmission Control Protocol / Internet Protocol: hii ndiyo protocol kuu na nyingine zote zimejengwa juu yake.

Kama vile barua zinavotumia sanduku la posta kufikisha ujumbe, protocol hii inatumia IP adresses ambazo haziwezi zikafanana kwa devices zaidi ya moja kwenye network moja. Unapocommunicate na server kwa kutumia TCP/IP protocol, server inajua jinsi ya kukurudishia response kwa kuwa unaipelekea IP adress yako pia. Ni kama unavyoandika adress yako ndani ya barua, ila kwenye bahasha unaandika ya unayemtumia.

Kuna mengi mno kwenye hii protocol, ila elewa kuwa inatumia IP adresses kucommunicate na kutambua devices.

Kuna swali kutoka hapo?
 
ISO M.CodD,

Asante sana mkuu nime gain kitu kizuri hapo nafikiri nimepata uwelewa wa msingi.

Asante sana.
 
Last edited by a moderator:
TCP/IP (Transmission Control Protocol/Internet Protocol) is the basic communication language or protocol of the Internet. It can also be used as a communications protocol in a private network (either an intranet or an extranet).

When you are set up with direct access to the Internet, your computer is provided with a copy of the TCP/IP program just as every other computer that you may send messages to or get information from also has a copy of TCP/IP.

TCP/IP is a two-layer program. The higher layer, Transmission Control Protocol, manages the assembling of a message or file into smaller packets that are transmitted over the Internet and received by a TCP layer that reassembles the packets into the original message.

The lower layer, Internet Protocol, handles the address part of each packet so that it gets to the right destination. Each gateway computer on the network checks this address to see where to forward the message. Even though some packets from the same message are routed differently than others, they'll be reassembled at the destination.

TCP/IP uses the client/server model of communication in which a computer user (a client) requests and is provided a service (such as sending a Web page) by another computer (a server) in the network. TCP/IP communication is primarily point-to-point, meaning each communication is from one point (or host computer) in the network to another point or host computer.

TCP/IP
and the higher-level applications that use it are collectively said to be "stateless" because each client request is considered a new request unrelated to any previous one (unlike ordinary phone conversations that require a dedicated connection for the call duration).

Being stateless frees network paths so that everyone can use them continuously. (Note that the TCP layer itself is not stateless as far as any one message is concerned. Its connection remains in place until all packets in a message have been received.)

Many Internet users are familiar with the even higher layer application protocols that use TCP/IP to get to the Internet. These include the World Wide Web's Hypertext Transfer Protocol (HTTP), the File Transfer Protocol (FTP), Telnet (Telnet) which lets you logon to remote computers, and the Simple Mail Transfer Protocol (SMTP). These and other protocols are often packaged together with TCP/IP as a "suite."

Personal computer users with an analog phone modem connection to the Internet usually get to the Internet through the Serial Line Internet Protocol (SLIP) or the Point-to-Point Protocol (PPP). These protocols encapsulate the IP packets so that they can be sent over the dial-up phone connection to an access provider's modem.

Protocols related to TCP/IP include the User Datagram Protocol (UDP), which is used instead of TCP for special purposes. Other protocols are used by network host computers for exchanging router information.

These include the Internet Control Message Protocol (ICMP), the Interior Gateway Protocol (IGP), the Exterior Gateway Protocol (EGP), and the Border Gateway Protocol (BGP).

Source:
Searchnetworking.techtarget.com
 
Keep researching for more...

Ni kweli mkuu ila kusema ukweli umeniokoa maana ninafundisha ICT kwenye english medium moja hivi,

Sasa hii topic ya INTERNET nilikuwa naigwaya kuifundisha kutokanana kwamba kwenye definition kuna hiyo misamiati ya TCP/ IP Protocol wakati mi chuoni nimejifunza only basic application of computer.

Hivyo umeniokoa na aibu maana wangeniuliza hayo mambo, kwakweli wameniuliza na nimewaelezea vyema kabisa. Ubarikiwe ndugu.
 

Dah! hz elim zetu za TZ kweli ni shida, KWA JINSI HII TUTAFIKA KWELI ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…